Dallas Wheels.
Kwa Mahitaji yako ya Rims,Tyres na Accesories mbalimbali za Gari lako,Tupo Dar es salaam, Kariakoo, Mtaa wa SWAHILI / Rufiji. Mawasiliano; 0777 746 746 (Hotline) , 0718 306060, 0784 949127, 0719 700001 . Karibu Ujumuike nasi katika ukurasa wetu wa FACEBOOK http://facebook.com/dallas.wheels
Rims Original kwa gari jamii ya Mercedes,tunazo size zote 15'' 16'' 17'' 18'' 20''
Habari...
ReplyDeleteNingependa kufahamu bei za Rim type hii za Mercedes size 15 na hata 16 zimesimamaje?
Nina GX110 nataka weka rim za benz like few cars ambazo nimeziona mtaani. Nitafurahi ukinijulisha, nimeandika humu kwenye comment husika ili kulenga picha husika.
Ushauri: Wekeni na email address kwa wateja wa mikoani kuweza ku-share lolote labda picha na mengineyo kulingana na mahitaji ya mtu husika.
Are you still in business, if yes please share your contact number
ReplyDeleteNever mind, i have see your numbers
ReplyDelete