Dallas Wheels.
Kwa Mahitaji yako ya Rims,Tyres na Accesories mbalimbali za Gari lako,Tupo Dar es salaam, Kariakoo, Mtaa wa SWAHILI / Rufiji.
Mawasiliano; 0777 746 746 (Hotline) , 0718 306060, 0784 949127, 0719 700001 .
Karibu Ujumuike nasi katika ukurasa wetu wa FACEBOOK http://facebook.com/dallas.wheels
Mawasiliano; 0777 746 746 (Hotline) , 0718 306060, 0784 949127, 0719 700001 .
Karibu Ujumuike nasi katika ukurasa wetu wa FACEBOOK http://facebook.com/dallas.wheels
Saturday, September 22, 2012
Old is Gold,hii Mercedes E190,Mteja wetu alikuja nayo na kutuachia tuifanyie mabadiliko,alisema yeye ameichoka baada ya kukaa nayo kwa 10yrs,nasisi tukai-PIMP kwa kubandika Matt Black-sticker gari nzima,Rims size 18'' Matt black,New tyres,Sound,American Tint na LED lights.Kwa sasa mwenye gari lake ndio amezidi kulipenda...Na hata wewe kama una gari lako na utataka tuli-Pimp liwe na mtazamo mpya,uje tukufanyie hiyo kazi(we can PIMP ur Ride)
Saturday, September 1, 2012
Subscribe to:
Posts (Atom)