Dallas Wheels.

Kwa Mahitaji yako ya Rims,Tyres na Accesories mbalimbali za Gari lako,Tupo Dar es salaam, Kariakoo, Mtaa wa SWAHILI / Rufiji.

Mawasiliano; 0777 746 746 (Hotline) , 0718 306060, 0784 949127, 0719 700001 .

Karibu Ujumuike nasi katika ukurasa wetu wa FACEBOOK http://facebook.com/dallas.wheels





Saturday, June 9, 2012

Dallas Wheels sasa ni wauzaji na wasambazaji wa vipodozi vya kung'arisha na kupendezesha gari lako,bidhaa hizi ni za kutoka-SHIELD Car Care Products........njoo kwetu tukupatie Polish,Airfreshners,Rims cleaner,Car Shampoo,Foam cleaners....n.k

Nissan Cefiro,ilikuja rims size 14'' ikaondoka imevishwa rims size 16'' pamoja na Tyres zake hapahapa Dallas wheels.

Rims zetu..

Dallas wheels karibu ufurahie huduma zetu.

Pioneer,ni redio nzuri sana yenye kutumia CD,DVD,USB,AUX na mambo kibao ndani yakje,inapatikana hapa dallas wheels kwa bei poa kabisaaaa

BMW ilikuja na Rims size15'' ili itoke bomba ikavalishwa size 17''

Toyota virtz,kutoka size 13'' hadi 14'',ikiwekwa pamoja American Tinted.