Dallas Wheels.

Kwa Mahitaji yako ya Rims,Tyres na Accesories mbalimbali za Gari lako,Tupo Dar es salaam, Kariakoo, Mtaa wa SWAHILI / Rufiji.

Mawasiliano; 0777 746 746 (Hotline) , 0718 306060, 0784 949127, 0719 700001 .

Karibu Ujumuike nasi katika ukurasa wetu wa FACEBOOK http://facebook.com/dallas.wheels





Tuesday, December 4, 2012

Taarifa...

Tunapenda kuomba samahani kwa wale wote waliokuwa wakitutembelea katika Blog yetu hii,tumekuwa kimya kidogo huku kutokana na muda mwingi tunakuwa katika ukurasa wetu wa FACEBOOK http://facebook.com/dallas.wheels Tunaomba kama utaona tuko kimya huku kwa Blog unaweza Ujumuike nasi katika ukurasa wetu wa FACEBOOK kwa kubofya link hii hapa; http://facebook.com/dallas.wheels Asanteni.

Dallas Wheels...

Rimz Nyeupe zinapatikana pia...

Chrome standard type wheel Lock,Nuts and Bolt.....jilinde kwa kuweka lock nuts hizi ili yasije yakakukuta Kama yalivyowakuta nduguzetu.Zinapatikana za magari model zote na kwa bei poa kabisa hapahapa Dallas Wheels.

Kitu ndani ya Box.....Rimz za Rangi tofauti kulingana na mahitaji yako zipo hapa Dallas Wheels...Karibu

Hii inaitwa Deep Dish Monday....

Corona ikiwa teyari kuvishwa Rim na Tyres Mpya kwa pamoja...

Inaitwa Deep Dish Friday....

Mambo mapya(Rims) ziko teyari kwa ajili yako...kuanzia size 13" hadi 26" wote mnakaribishwa.

Concave new collection 2012...

New Arrivals........Kwa mahitaji yako ya Rims na Accessories mbalimbali kwa ajili ya Gari lako tutembelee hapa DALLAS WHEELS , tunapatikana Kariakoo mtaa wa Swahili/Rufiji kuna jengo uliza "Dallas",Unaweza kuwasiliana nasi kwa namba zilizopo hapo juu

Kitu cha Alarm hicho, challenge kwako.....

Starlet ikiwekwa Rim size 15''

Wheels of the day...........We carry some of the best Wheels,Tyre's & Accessories in the market.You Call us on; 0718 306060. Karibuni sana.

Totoya Platz with 14" wheels and New Tyre's

Brevis Nyeupe ikiwa na Rimz Nyeupe size 18"

Status Wheels kuanzia size 17'',18'' na 20''

Rims za Dallas Wheels..