Dallas Wheels.

Kwa Mahitaji yako ya Rims,Tyres na Accesories mbalimbali za Gari lako,Tupo Dar es salaam, Kariakoo, Mtaa wa SWAHILI / Rufiji.

Mawasiliano; 0777 746 746 (Hotline) , 0718 306060, 0784 949127, 0719 700001 .

Karibu Ujumuike nasi katika ukurasa wetu wa FACEBOOK http://facebook.com/dallas.wheels





Tuesday, July 31, 2012

Rims Mpya yoka Japan Zinakuja Hivi karibuni wote mnakaribishwa

Prado ikibadilishwa toka 16'' na kuwekwa 17''

Tusaidiane kuchagua kati ya hizi Rims

Toyota MarkII GX 90 nayo ikivalishwa size 15''

Rav4 ikiwa katika maandalizi ya kuvalishwa viatu vipya,Ngao ya mbele(Bull Bar/Side Steps) na Rimz size 17''

Nissan Patrol,ilikuwa na Rims za chuma,ikabadilika na kuwekewa Alloy Wheels size 16'' Original kwa ajili ya Nissan(from Japan)

toyota Wish,ilikuja na size 15'' inavishwa size 17''chrome.

Toyota IST ikiwa teyari imevishwa rims size 15''